TANGAZA SHULE YAKO BUREEE

Offer kwa wamiliki wa shule, MPELLA EDUCATION inatoa offer ya kukutangazia shule yako buree kabisa bila gharama yoyote, lengo ni kusaidiana katika kuinua na kuitangaza shule yako ifahamike kwa watanzania wengi. Blogu hii inapata watembeleaji wengi wasiopungua elfu sita kwa siku na hivyo kuitangaza shule yako katika blogu hii itakuwa na mchango mkubwa, lakini pia ni blogu ambayo wadau wengi wa elimu wanaingia, ikiwemo wazazi, walimu na wanafunzi. Pia utaifanya shule yako iingie mtanaoni na hata katika search engines itakua ikipatikana.

TANGAZA SASA

Tuma taarifa zote muhimu kuhusiana na shule yako
1. JINA LA SHULE
2. MAHALI ILIPO (WILAYA NA MKOA)
3. LEVEL YA ELIMU INAYOTOLEWA
4. UFANISI WA SHULE, VIFAA VYA KUJIFUNZIA, VITABU, WALIMU NA MIUNDOMBINU
5. MAWASILIANO YA MKUU WA SHULE
BAADHI YA PICHA ZA SHULE YENU ANGALAU TATU ZIKIONYESHA MAANDHARI YA SHULE YENU
6. ELEZA KAMA NI BWENI AU KUTWA
7, GHARAMA ZA MASOMO KWA MWAKA

Tuma taarifa hizo kwa Watsapp 0759146185, AU Email: rajabumpella380@gmail.com





Post a Comment

2 Comments

  1. CHEMCHEM ACADEMY & TRAINING INSTITUTE-KAWE DSM9 May 2019 at 07:13

    KWA KWELI NINAIONGEZA SANA MPELA EDUCATION BLOG KWA KURAHISISHA UPATIKANAJI WA TAARIFA MUHIMU ZA KITAALUMA,NYENZO ZA KITAALUMA PAMOJA NA JUHUDI YENU YA KUTOA UPDATES MBALIMBALI ZENYE TIJA KWA MTU BINAFSI NA JAMII KWA UJUMLA, HONGERENI SAANA TUPO PAMOJA.FROM CHEMCHEM ACADEMY AND TRAINING INSTITUTE, KAWE DSM

    ReplyDelete