jamanj mimi naomba ushauri nilisoma mpaka darasa la saba lakini sikufaulu na ilikuwa 2008 sasa hivi nimeamua nisome QT ila mwalim akiingia darani inakuwa ngumu sana kumuelewa yaani anaweza akafundisha najalibu kufosi akili yangu ielewe kitu anacho kifundisha mwalimu ila huwa ninaelewa kwa taratibu sana na masomo ya QT kama mnavyo jua ni miaka 2 sasa nitafanyaje naomba ushauri
6 Comments
Biology and chemistry form one study nots upload plz hazipo
ReplyDeletey cant i download?
ReplyDeleteNo form one biology notes Mr.
ReplyDeletePlease proof read all the subjects there are a lot grammatical mistakes in the presentation. The idea is good but present the subjects professionally.
ReplyDeletejamanj mimi naomba ushauri nilisoma mpaka darasa la saba lakini sikufaulu na ilikuwa 2008 sasa hivi nimeamua nisome QT ila mwalim akiingia darani inakuwa ngumu sana kumuelewa yaani anaweza akafundisha najalibu kufosi akili yangu ielewe kitu anacho kifundisha mwalimu ila huwa ninaelewa kwa taratibu sana na masomo ya QT kama mnavyo jua ni miaka 2 sasa nitafanyaje naomba ushauri
ReplyDeleteThanks for the work done
ReplyDelete